Nandy & Sho Madjozi – Kunjani mp3 Download free
Following the recent news about their upcoming tour, top notch music duo Nandy & Sho Madjozi wo have been seen often times lately decides to connect Tanzania and South Africa together on a new song titled Kunjani where they nailed the track with their lyrics. Cop below and enjoy.
VERY HOT: Midas the Jagaban – Paigons ft. Sho Madjozi
“Kunjani” will serve as the first time the duo are partnering on a single track after so much hints about an upcoming LP project which both have been optimistic about since the start of the year. The track also have been nominated by many to become the song of the year among both countries. So without added ado, update your playlist and leave a feedback with us using the comment box below.
Stream, and share “Kunjani”. Don’t forget to drop your comments below.
Nandy & Sho Madjozi – Kunjani Lyrics:
Eeh….shii!
Okay okay okay
Wananijua mi ni number one
Control manongazi ndani
Hii flow hamuonekani
Sowonama, kunjani
Haibo aii, kidogo
Asubuhi kachai mhogo
Haibo aii, kidogo
Asubuhi kachai mhogo
Sowonama, kunjani
Haibo aii, kidogo
Sowonama, kunjani
Haibo aii, kidogo
Sowonama, kunjani
Haibo aii, kidogo
Sowonama, kunjani
Haibo aii, kidogo
Hello!
Hello! Hujambo
Ndo nimeland hapa OR Tambo
Hello! Hujambo
Ndo nimeland hapa OR Tambo
Hello! Uko wapi?
Ndo nimefika na madem wangapi
Hello! Ni nani?
Tumekuja kukiwasha na nani
Sho Madjozi pisi kali amedamshi
Tuna fujo tumejaa kwenye gari
Tunakula bata wala hatujali
Alafu hawaamini navochapa Konyagi
Sho Madjozi ni samaki kwa maji
Sho Madjozi ni jogoo halali
Sho Madjozi ye ni ndege anafly
Wao wanasema watanishusha sidhani
Sowonama, kunjani
Haibo aii, kidogo
Sowonama, kunjani
Haibo aii, kidogo
Say —
Zulu language
—-
Chezesha mido, chezesha mido
Chezesha macho, chezesha macho
Chezesha mido, chezesha mido
Chezesha macho, chezesha macho
Sowonama, kunjani
Haibo aii, kidogo
Sowonama, kunjani
Haibo aii, kidogo
